Tuesday, August 14, 2007

Usafili wa Jiji la Dar es salaam ni noma...!


Uchunguzi umeonesha kuwa ingawa kuna mabasi mengi jijini DSM,lakini usafili umeonekana kuwa ni tatizo kwa wakazi wa jiji hilo.....!
Na hapo inaoneshwa kijana huyo baada ya kuwa basi limejaa mpaka kupitiliza hali iliyomfanya kudandia basi hilo kwenye bomba ya nyuma....Hii ni kutokana na kutaka kuwahi shughuli zake za kila siku....

No comments: