Monday, January 7, 2008

Mkubwa...KIWANJA...!!! hapaongopi...!!!


Kweli kiwanja noma.....cheki mkubwa...alivyotakata..ndani ya U.S.A
Poa mwana toa shavu....kweli MBELE MBELE TUUU!!!!

Friday, September 14, 2007

Kimya..cha...FEROOZ...ni..kweli naye...kashafika..OMEGA..kimziki...???

SOLO....Ni mwana...Hip hop...Halisi...!!!


Hiyo imejidhihilisha kutokana na kazi zake nyingi kuwa si za kubahatisha kimziki....
Solo thang...amba kwa sasa yupo nchini UK...kwa masomo...lakini bado anaendeleza mziki huko huko alipo...inatokana na kuwa fani hiyo ipo ndani ya damu yake....Solo...anatarajia kurudi mapema iwezekanavyo...
Na amewahaidi watanzania kurudi na Kazi alizofanya huko UK..

Manati...ya GK...kufananishwa na ya KIPEPE...Ni sahihi...???


kAULI HIYO ILITOLEWA NA MOJA YA MAHASIMU WA KUNDI HILO LA EAST COAST...YAANI TMK WANAUME HALISI..
NAMZUNGUMZIA...KIBLA AU SIR NATURE.....ALITOA KAULI HIYO KWA MOJA YA WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI FULANI NA KURUSHWA HEWANI KUPITIA GAZETI HILO.....SIR NATURE ALISEMA...'MANATI YA GK NI SAWA NA YA KIPEP'
SWALI JE NI KWELI PIGA MANATI YA GK HAIJABAMBA....???

Ni...kweli...Dully ni...Handsome...???...au Misifa tuuu!!!!

Kibla.....ni motto wa kuotea mbali....!


Wednesday, September 12, 2007