Friday, September 14, 2007
SOLO....Ni mwana...Hip hop...Halisi...!!!

Hiyo imejidhihilisha kutokana na kazi zake nyingi kuwa si za kubahatisha kimziki....
Solo thang...amba kwa sasa yupo nchini UK...kwa masomo...lakini bado anaendeleza mziki huko huko alipo...inatokana na kuwa fani hiyo ipo ndani ya damu yake....Solo...anatarajia kurudi mapema iwezekanavyo...
Na amewahaidi watanzania kurudi na Kazi alizofanya huko UK..
Manati...ya GK...kufananishwa na ya KIPEPE...Ni sahihi...???

kAULI HIYO ILITOLEWA NA MOJA YA MAHASIMU WA KUNDI HILO LA EAST COAST...YAANI TMK WANAUME HALISI..
NAMZUNGUMZIA...KIBLA AU SIR NATURE.....ALITOA KAULI HIYO KWA MOJA YA WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI FULANI NA KURUSHWA HEWANI KUPITIA GAZETI HILO.....SIR NATURE ALISEMA...'MANATI YA GK NI SAWA NA YA KIPEP'
SWALI JE NI KWELI PIGA MANATI YA GK HAIJABAMBA....???
Wednesday, September 12, 2007
Monday, September 10, 2007
Ni kweli....kuwa...WACHEZAJI ...wetu...wa TAIFA STARS...wawatake radhi mashabi....???
Swali hili linaulizwa kufuatia kufungwa kwa timu yetu....na MSUMBIJI..kwa bao moja bilaa!!!Baada ya hapo moja ya mashabiki matata sana...alisema kuwa TAIFA STARS....iwatake radhi mashabiki wake.....kauli hii imejitokeza baada ya kuwa...pamoja na wafadhili na wananchi kwa ujumla kujitahidi kutoa ahadi mbali mbaili,misaada na ushirikiano wa hali ya juu lakini....wapi...bado tunafungwa...
Monday, September 3, 2007
Subscribe to:
Posts (Atom)




