Thursday, August 16, 2007

haya mimi simjui huyu nani.....! kazi kwenu wakubwa...!


inasemekana yupo maeneo hayo hayo ulipo....swali je unamjuwa.....wadau wa MOTCO... vipi....AT MOTCO LEVEL ...inakuwaje????

unique sisters.....wana dada ambao ni hatari wakiwa...jukwaani...!


Ebu tembelea moja ya show zao siku ujionee mwenyewe jinsi wanadada hawa wanavyoshambulia jukwaa....utadata na roho yako.
na kizuri zaidi hapo wanaonesha show ya kuhamasisha juu ya kujikinga na gonjwa hatari la ukimwi.

Mchango wa Mwana FA.....ulikuwa na umuhimu sana kwa East Coast team....?

D' Nob....kijana aliyeleta heshima ya kiwalani katika Hiphop...!


Tabia mbaya inayoendelea kujitokeza ni pale vijana wa uswahilini kwetu....KIWALANI....kujitenga na wenzao,kujiona bora nakujiona wamefika pale wanapoanza kidogo kuonesha mafanikio kwenye gemu la rap.....
Hii inapelekea kutofika mbali na kusahaulika....kaa ukijua ukijisahau na watu pia wanakusahau pia....

GWM ilikuwa moto wa kuotea mbali....


Takribani miaka mingi tu imepita tangu kundi hili la GWM livunjike.....lakini bado wapenzi wa muziki huu wa kizazi kipya bado wanakumbuka manjonjo ya kundi hilo..
Kwani hata mimi nakumbuka show yao iliyoleta balaa pale Coco beach mpaka kufikia washabiki kudondosha Maspika...ilikuwa Beach part ya mwisho kufanyika jijini DSM.....ilikuwa nooma....!!!!!

Ni kweli mtu mzima Fid Q....ananyimwa usingizi na Rado???


Vijana wapya katika Gemu la mziki wa kizazi kipya wameonekana kuwakosesha usingizi wakongwe....kwani huibuka wakiwa wamiva nakutaka kunyakuwa nafasi za juu....kitendo ambacho huwanyima usingizi wakongwe hao...Ushauri wa dezo ni bora waongezr bidii ili kulinda nafasi zao wasije wakaanguka.

Wakali wa iliyokuwa ikitwa Gangwe Mobb.....



histolia ya mziki wa kizazi kipya imeonesha kuwa wengi wao....Wanamuziki wa muziki huu wa hiphop....wameonesha kufanya vizuri zaidi wanapokuwa kwenye makundi...ingawa ni mbaya kwao kwa sababu za kimasrahi kwani hupunjika zaidi wanapokuwa kwenye kundi,kuliko wakifanya kazi kama Solo artist...

Mkongwe wa Rap Bongo...MR 2 a.k.a SUGU...akiwa na mkongwe mwenzake... Prof.J na MR Paul.

pres.. Kikwete meets with outgoing Canadian High Commissioner to Tanzania...

Wednesday, August 15, 2007

nikizipata mbona itakuwa noma.......!


hakika hakuna mtu asiyependa mambo mazuri..
ndiyo maana mkubwa hapa anasema.

Tuesday, August 14, 2007

Ndege akipuluchuka....toka tunduni....huwa noooma...!!!!!


Haya tena.....kama ilivyo kawaida si rahisi kumnyonya mwanadamu kimasrahi....mpaka mwisho wa maisha yake.
hii imejidhihilisha wazi baada ya - kijana Sir Nature kupuruchuka toka tunduni na kuwa na kiota chake na wenzake ambao wameona watoke TMK wanaume kwa Saidi Ferra......na kuunda kundi la wanaume halisi...

kuondoka kwa AY na Mwana FA ndiyo mwisho wa East coast team...???

Usafili wa Jiji la Dar es salaam ni noma...!


Uchunguzi umeonesha kuwa ingawa kuna mabasi mengi jijini DSM,lakini usafili umeonekana kuwa ni tatizo kwa wakazi wa jiji hilo.....!
Na hapo inaoneshwa kijana huyo baada ya kuwa basi limejaa mpaka kupitiliza hali iliyomfanya kudandia basi hilo kwenye bomba ya nyuma....Hii ni kutokana na kutaka kuwahi shughuli zake za kila siku....

TMK wanaume....Hapa kazi tuu!!!

Haya tena watu wangu, ndiyo kama mnavyoona tena msimame mkae....Kazi ipo.....Mbishe mkubali kazi ipo.....!
Uchunguzi umeonesha kuwa kundi hili limeonekana kuwa na jitihada sana kwenye kazi zao za muziki wa Bongo fleva.....
Hivyo nami nasema kazi ipo...!

Monday, August 13, 2007

Watanzania tusichezee Amani tuliyo nayo...!


haya ndugu zangu watanzani,suala la amani na utulivu ni kitu muhimu sana...
Ona hawa ni waafrika wenzetu wa Sudan ambako kuna machafuko ya kisiasa na vita.....
Hapo inaonesha jinsi watu wanavyoathilika na machafuko hayo pamoja na kupoteza maisha na mali za wakazi.

Ebwana eeh!!! huyu msela hapo..kama yupo kiwanja kumbe...!!!



duh! kweli hii noma,msela katoka kama yupo kiwanja.....kumbe ukweli kuwa yupo chuoni morogoro...kwa wanachuo wenyewe wanpaita beach....hii ni kutokana na eneo hilo kuwa na mandhari kama ya beach....pako bomba mbaya kama hujafika unashauriwa utembelee siku moja ili ujionee mwenyewe....!
Na kubwa kuliko yote huyu msela ndiyo mwezeshaji wa hii Blogspot.....anaye sababisha ujipatie mambo mbali mbali katika maisha ya kila siku ikiwemo habari moto moto.....!!!!!

Hukoo! mimi sipo maana nyie mwaita mgongo mgongo...!!!!

hapo mazee soo,maana vijana wa sasa mnaita mgongo mgongo......!!!!! siku za nyuma pia kulikuwa na kiuno viuno......!!!!!! oyaah! angalia migongo lakini msidate...!!!!

haya mimi sitii nenooo...!!!!!


haya ndugu zanguni,hapa twabonyeza kivyote......
Maana niliwaambia kaeni mkao wa kula sasa ndiyo mwaanza kula,Hivyo naanza na bwana Hamijeii....

Sunday, August 12, 2007

oya masela huu ujio si wa kitoto!

oya masela huu ujio wa kiutu uzima,hivyo kaani mkao wa kula ili mjipatie ma news babu kubwa....
Yaani si kitoto...si mnajuwa tena masela.....!