duh! kweli hii noma,msela katoka kama yupo kiwanja.....kumbe ukweli kuwa yupo chuoni morogoro...kwa wanachuo wenyewe wanpaita beach....hii ni kutokana na eneo hilo kuwa na mandhari kama ya beach....pako bomba mbaya kama hujafika unashauriwa utembelee siku moja ili ujionee mwenyewe....!
Na kubwa kuliko yote huyu msela ndiyo mwezeshaji wa hii Blogspot.....anaye sababisha ujipatie mambo mbali mbali katika maisha ya kila siku ikiwemo habari moto moto.....!!!!!
No comments:
Post a Comment