Thursday, August 16, 2007

D' Nob....kijana aliyeleta heshima ya kiwalani katika Hiphop...!


Tabia mbaya inayoendelea kujitokeza ni pale vijana wa uswahilini kwetu....KIWALANI....kujitenga na wenzao,kujiona bora nakujiona wamefika pale wanapoanza kidogo kuonesha mafanikio kwenye gemu la rap.....
Hii inapelekea kutofika mbali na kusahaulika....kaa ukijua ukijisahau na watu pia wanakusahau pia....

No comments: