Monday, September 10, 2007

Ni kweli....kuwa...WACHEZAJI ...wetu...wa TAIFA STARS...wawatake radhi mashabi....???

Swali hili linaulizwa kufuatia kufungwa kwa timu yetu....na MSUMBIJI..kwa bao moja bilaa!!!
Baada ya hapo moja ya mashabiki matata sana...alisema kuwa TAIFA STARS....iwatake radhi mashabiki wake.....kauli hii imejitokeza baada ya kuwa...pamoja na wafadhili na wananchi kwa ujumla kujitahidi kutoa ahadi mbali mbaili,misaada na ushirikiano wa hali ya juu lakini....wapi...bado tunafungwa...

1 comment:

Khaled Masondore said...

Bosco, umeanza vizuri but ya blog haipo kwenye viwango vya net,,concept ipo lkn content kimeo,background nyeusi inafanya maneno yasisomeke otherwise we expect good things for the future

cheeers, lido