Friday, September 14, 2007

SOLO....Ni mwana...Hip hop...Halisi...!!!


Hiyo imejidhihilisha kutokana na kazi zake nyingi kuwa si za kubahatisha kimziki....
Solo thang...amba kwa sasa yupo nchini UK...kwa masomo...lakini bado anaendeleza mziki huko huko alipo...inatokana na kuwa fani hiyo ipo ndani ya damu yake....Solo...anatarajia kurudi mapema iwezekanavyo...
Na amewahaidi watanzania kurudi na Kazi alizofanya huko UK..

No comments: